Kuku bora wa kufuga
 
Notifications
Clear all

Kuku bora wa kufuga  

   RSS

0

Je ni kuku gani wanafaa zaidi kwa ufugaji wa kibiashara kati ya kukua wa kienyeji na kuku wa kisasa?

Topic Tags
1 Answer
0

Nadhani Kroiler, wanafaa zaidi. Wana maumbo makubwa, wanakua haraka na wana uzito mzuri kwa soko.

Jaibu kuwa tafuta hao, watakufaa.

This post was modified 9 months ago by TheBrilliant
Share: