Notifications
Clear all

Viwavi jeshi  

  RSS

Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
15/08/2019 1:24 pm  

Jamani hivi viwavijeshi dawa yake ni nn? maana vinaharibu sana mahindi yangu jamani, tafadhali msaada!

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


Quote
Topic Tags
Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
15/08/2019 1:25 pm  

Tafuta Imidachloprid, itakusaidia sana.

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


ReplyQuote
Share: