Notifications
Clear all

[Solved] Tofauti ya mbolea  

  RSS

Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
15/08/2019 1:29 pm  

Hv YARA miller winner na NPK zinatofautiana vp? Maana sizielewagi hata kigodo na zinanichanganya kwelikweli!

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


Quote
Topic Tags
Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
15/08/2019 1:30 pm  

Afadhali umeuliza aisee tujue!

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


ReplyQuote
Mogriculture
(@mogriculture)
Active Member
Joined: 9 months ago
Posts: 6
17/08/2019 9:26 pm  

@Mtalula Mohamed

NPK ni mbolea yenye virutubishio vitatu muhimu kwa ukuaji wa mimea ambavyo ni Nitrogen, Phosphourus na Potassiun; lkn Yara Mila winner ni mbolea ambayo inatumika tu kwa ajili ya kukuzia. na kirutubisho chake kikuu ni nitrogen kama ilivyio kwa UREA.

Soma zaidi hapa


ReplyQuote
Share: