Notifications
Clear all

[Sticky] Jinsi ya kujiunga (Register)  

  RSS

Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
01/09/2019 2:21 pm  

Fuata hatua zifuatazo ili uweze kujiunga na Jukwaa la Mkulima:

  1. Bofya 'Menu icon' na uchague "Register"
  2. Bofya "register" kisha jaza "username" yako na email unayoitumia sasa hivi. Halafu bofya kwenye vibox vyote unavyoviona chini yake. Baada ya hapo bofya "Register" na utatumiwa email hapo hapo.
  3. Nenda kwenye email yako, halafu ubofye link utakayopewa ili utengeneze password yako. Ukishaweka password yako, bofya Reset Password.
  4. Baada ya kuweka password yako, utapewa ujumbe kuonyesha umefanikiwa kubadilisha password yako. Na muda huo huo utakuwa ume-login moja kwa moja na utaweza kuanzisha mada ua kuchangia mada zilizopo.
  5. Furahia Jukwaa la Mkulima. Tafadhali eleza kama utakutana na changamoto yoyote.
This topic was modified 9 months ago 3 times by Mtalula Mohamed

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


Quote
Share: