Notifications
Clear all

[Sticky] Jinsi ya kuchangia kwenye mada (How to reply)  

  RSS

Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
01/09/2019 5:36 pm  

Fuata hatua zifuatazao ili uweze kuweka hoja zako kwenye mada mbalimbali.

  1. Chagua mada (topic) unayotaka kuchangia hoja (reply) zako.
  2. Hakikisha ume-login. Ili u-login ni lazima u-register kwanza. Hakikisha umefanya hayo yote.
  3. Bofya mada unayotaka kuchangia. kama ume-login basi utaona china ya ile mada kuna maandisha "Leave a reply" yakifuatiwa na fomu ya kujaza hoja zako.
  4. Ukishamaliza kujaza, bofya "Add reply" chini ya hiyo fomu.
  5. TaDa! Umeshachangia hoja yako kwenye mada husika. Na utaarifiwa kwa email kuwa ukubali kujiunga kupokea majibu yote yatakayoweka kwenye mada ile. Nenda kwenye email yako yako na ubofye "subscribe".

 

This topic was modified 9 months ago by Mtalula Mohamed

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


Quote
Share: