Notifications
Clear all

[Sticky] Jinsi ya Kuanzisha mada (Adding a topic)  

  RSS

Mtalula Mohamed
(@mtalula-mohamed)
Member Admin
Joined: 10 months ago
Posts: 12
01/09/2019 5:18 pm  

Fuata htua zifuatazo ili uweze kuanzisha mada kwenye Jukwaa la Mkulima:

  1. Kwanza kabisa hakikisha kuwa ume-register na ume-login. Soma hapa jinsi ya ku-register.
  2. Chagua Jukwaa unalotaka uanzishe mada ndani yake. Yapo majukwaa (Main forums) matatu: (1) Jukwaa la kilimo cha mazao, (2) la Ufugaji na (3) la Maswali na majibu. Ndani ya kila majukwaa haya, kuna majukwaa madogo madogo. Chagua jukwaa dogo linaloendana na mada yako kisha ubofye hapo.
  3. Ukishabofya jukwaa dogo (sub-forum), utaona maelezo ya aina gani za mada zinaweza kuwekwa hapo. Na utaona button imeandikwa "Add topic" au "Ask question" kulingana na jukwaa ulilochagua kwa mada yako. Bofya hiyo button.
  4. Baada ya kubofya button, utakuja ukarasa wenye sehemu mbili za kuandika: ya kwanza (inayotosha sentensi moja tu) utaandika kichwa cha habari cha mada yako na sehemu ya pili utaandika maelezo yote kuhusu mada yako. Hakuna ukomo wa idadi ya maneno.
  5. Baada ya hapo bofy "Add topic" au "Ask question" iliypo chini ya ukurasa uliojaza mada yako.
  6. Yap! Tayari umeshaanzisha mada, utaarifiwa kwa email kila itakapo wekwa hoja kwenye mada yako.
This topic was modified 9 months ago by Mtalula Mohamed

Tafadhali share jukwaa hili na watu wengine, ili tuwafikie wadau wengi zaidi.


Quote
Share: